Tangazo la Pre-Form One Kwa Mwaka wa Masomo 2026/2027
MUHIMU KWA WAZAZI NA WANAFUNZI
Usajili wa wanafunzi wa Pre-Form One kwa mwaka wa masomo 2026/2027 umeanza rasmi.
đź“… Masomo yataanza Rasmi Tarehe 14 Septemba 2026.
📍 Mahali: Samaritan Technical Secondary School
Samaritan Technical Secondary School si mahali pa kusoma tu, bali ni mahali pa kujenga ndoto, kuvumbua vipaji, na kuandaa vijana wenye maadili, weledi, na uwezo wa kushindana kitaifa na kimataifa.
📞 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na kujiunga rasmi! Kupitia namba +255784751822/ +255764732622.
