MTAALA MPYA 2026 SAMARITAN TECHNICAL SECONDARY SCHOOL
MTAALA MPYA 2026 SAMARITAN TECHNICAL SECONDARY SCHOOL MTAALA MPYA 2026 SAMARITAN TECHNICAL SECONDARY SCHOOL
MTAALA MPYA 2026 SAMARITAN TECHNICAL SECONDARY SCHOOL MTAALA MPYA 2026 SAMARITAN TECHNICAL SECONDARY SCHOOL
Samaritan Tech inatangaza rasmi nafasi za masomo kwa mwaka mpya wa masomo. Tunakaribisha wanafunzi wapya wanaopenda kusoma na kupata ujuzi katika fani mbalimbali za ufundi na teknolojia. 🔹 Usajili unaendelea kwa vidato vyote🔹 Nafasi ni chache🔹 Elimu ya vitendo na ya kisasa🔹 Malezi bora ya kitaaluma na kimaadili Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi zinazotolewa, ada…
🎓 Mafunzo haya yanajumuisha: âś… Masomo ya msingi ya kidato cha kwanza: âś… Masomo ya Ufundi kwa mtaala mpya wa AMALI (Competency-Based Education and Training): 📆 Muda wa Mafunzo:Kuanzia 15.09.2025 hadi 19.12.2025 đź•’ Ratiba: Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 1:30 asubuhi hadi 8:00 mchana📌 Ada ya Mafunzo: 30,000 kwa mwezi kutwa na 120,000 kwa Bweni📍 Mahali:…
MUUNDO WA ELIMU-SEKONDARI YA CHINI (A flexible education system). Elimu ya sekondari itagawanyika katika mikondo miwili ambayo ni: 1.MKONDO WA JUMLA MKONDO WA AMALI
Baada ya mahafali ya 14 ya kidato cha nne (IV) 2024 shuleni walipata nafasi ya kupiga picha ya Pamoja na waalimu wao(mkuu wa shule na mtaaluma mkuu) mbele ya jengo la utawala(Administration block) kama linavyoonekana wakiwa wenye nyuso zao zikiangaza kwa furaha. Baadhi ya matukio mbalimbali kipindi cha mahafali ya 14 2025Baadhi ya matukio mbalimbali…
Uongozi wa shule ya sekondari na ufundi Samaritan iliyopo tarime mkabala na kanisa la K.K.K.T unawatangazia nafasi za masomo kwa pre form one kuanzia tarehe 16/09/2024 Wanafunzi watakaokaa bweni watapewa GODORO na MADAFTARI shuleni bure wanafunzia watakaofanya vizuri katika masomo kwa muda wote wa mafunzo wanaweza kupata ufadhili wa masomo wa hadi 100% TANGAZO LA…