TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2026

Samaritan Tech inatangaza rasmi nafasi za masomo kwa mwaka mpya wa masomo. Tunakaribisha wanafunzi wapya wanaopenda kusoma na kupata ujuzi katika fani mbalimbali za ufundi na teknolojia.

🔹 Usajili unaendelea kwa vidato vyote
🔹 Nafasi ni chache
🔹 Elimu ya vitendo na ya kisasa
🔹 Malezi bora ya kitaaluma na kimaadili

Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi zinazotolewa, ada na taratibu za usajili, tafadhali wasiliana na uongozi wa shule au tembelea ofisi zetu.

Tunapenda kuwatakia wadau wote Krismasi Njema iliyojaa amani, furaha na upendo, pamoja na Heri ya Mwaka Mpya 2026 uliojaa baraka, afya njema na mafanikio.

”ELIMU KWA WOTE NA WOTE KWA MUNGU”

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *