HAPPY NEW YEAR 2025


MERRY CHRISTMASS AND HAPPY NEW YEAR

SAMARITAN T.S.S WISHES TO PROSPEROUS 2025 YEAR


MERRY CHRISTMASS AND HAPPY NEW YEAR

SAMARITAN T.S.S WISHES TO PROSPEROUS 2025 YEAR
MUUNDO WA ELIMU-SEKONDARI YA CHINI (A flexible education system). Elimu ya sekondari itagawanyika katika mikondo miwili ambayo ni: 1.MKONDO WA JUMLA MKONDO WA AMALI
🎓 Mafunzo haya yanajumuisha: âś… Masomo ya msingi ya kidato cha kwanza: âś… Masomo ya Ufundi kwa mtaala mpya wa AMALI (Competency-Based Education and Training): 📆 Muda wa Mafunzo:Kuanzia 15.09.2025 hadi 19.12.2025 đź•’ Ratiba: Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 1:30 asubuhi hadi 8:00 mchana📌 Ada ya Mafunzo: 30,000 kwa mwezi kutwa na 120,000 kwa Bweni📍 Mahali:…
Samaritan Tech inatangaza rasmi nafasi za masomo kwa mwaka mpya wa masomo. Tunakaribisha wanafunzi wapya wanaopenda kusoma na kupata ujuzi katika fani mbalimbali za ufundi na teknolojia. 🔹 Usajili unaendelea kwa vidato vyote🔹 Nafasi ni chache🔹 Elimu ya vitendo na ya kisasa🔹 Malezi bora ya kitaaluma na kimaadili Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi zinazotolewa, ada…