TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2026
Samaritan Tech inatangaza rasmi nafasi za masomo kwa mwaka mpya wa masomo. Tunakaribisha wanafunzi wapya wanaopenda kusoma na kupata ujuzi katika fani mbalimbali za ufundi na teknolojia. 🔹 Usajili unaendelea kwa vidato vyote🔹 Nafasi ni chache🔹 Elimu ya vitendo na ya kisasa🔹 Malezi bora ya kitaaluma na kimaadili Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi zinazotolewa, ada…
