Similar Posts
Tangazo la Pre-Form One Kwa Mwaka wa Masomo 2026/2027
MUHIMU KWA WAZAZI NA WANAFUNZI Usajili wa wanafunzi wa Pre-Form One kwa mwaka wa masomo 2026/2027 umeanza rasmi. 📅 Masomo yataanza Rasmi Tarehe 14 Septemba 2026.📍 Mahali: Samaritan Technical Secondary School Samaritan Technical Secondary School si mahali pa kusoma tu, bali ni mahali pa kujenga ndoto, kuvumbua vipaji, na kuandaa vijana wenye maadili, weledi, na…
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2026
Samaritan Tech inatangaza rasmi nafasi za masomo kwa mwaka mpya wa masomo. Tunakaribisha wanafunzi wapya wanaopenda kusoma na kupata ujuzi katika fani mbalimbali za ufundi na teknolojia. 🔹 Usajili unaendelea kwa vidato vyote🔹 Nafasi ni chache🔹 Elimu ya vitendo na ya kisasa🔹 Malezi bora ya kitaaluma na kimaadili Kwa maelezo zaidi kuhusu kozi zinazotolewa, ada…
MABADILIKO YA MTAALA(MTAALA ULIOBORESHWA)
MUUNDO WA ELIMU-SEKONDARI YA CHINI (A flexible education system). Elimu ya sekondari itagawanyika katika mikondo miwili ambayo ni: 1.MKONDO WA JUMLA MKONDO WA AMALI
📢 TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO YA PRE–FORM ONE 2025
🎓 Mafunzo haya yanajumuisha: ✅ Masomo ya msingi ya kidato cha kwanza: ✅ Masomo ya Ufundi kwa mtaala mpya wa AMALI (Competency-Based Education and Training): 📆 Muda wa Mafunzo:Kuanzia 15.09.2025 hadi 19.12.2025 🕒 Ratiba: Jumatatu hadi Ijumaa, Saa 1:30 asubuhi hadi 8:00 mchana📌 Ada ya Mafunzo: 30,000 kwa mwezi kutwa na 120,000 kwa Bweni📍 Mahali:…



