MAHAFALI YA 14 YA KIDATO CHA NNE 2024
Baada ya mahafali ya 14 ya kidato cha nne (IV) 2024 shuleni walipata nafasi ya kupiga picha ya Pamoja na waalimu wao(mkuu wa shule na mtaaluma mkuu) mbele ya jengo la utawala(Administration block) kama linavyoonekana wakiwa wenye nyuso zao zikiangaza kwa furaha.

Baadhi ya matukio mbalimbali kipindi cha mahafali ya 14 2025Baadhi ya matukio mbalimbali kipindi cha mahafali ya 14 2025

Picha: Wageni kutoka chama marafiki kutoka NORWAY (wakiongozwa na Mch.TORGIN na mke wake SOLVEIG)

- Picha: Wanafunzi wahitimu wavulana kwenye picha ya pamoja

- Picha Meza kuu: Mkurugenzi wa shule Baba askofu JOHN MAGUGE, mgeni rasmi Baba Askofu SOSEPETEr N. SAGARA, meneja washule Bw.JASHIDA W. SISSO, mkuu wa shule Mwl. ABDUL JOSEPH mtaaluma a shule YOSHWA GISIRI na wageni marafiki kutoka Norway.

- Picha: Mkurugenzi wa shule Baba Askofu JOHN MAGUGE.

Picha: wazazi wa wahitimu katika mazingira ya shule
