Tangazo la Pre-Form One Kwa Mwaka wa Masomo 2026/2027
MUHIMU KWA WAZAZI NA WANAFUNZI Usajili wa wanafunzi wa Pre-Form One kwa mwaka wa masomo 2026/2027 umeanza rasmi. đź“… Masomo yataanza Rasmi Tarehe 14 Septemba 2026.📍 Mahali: Samaritan Technical Secondary School Samaritan Technical Secondary School si mahali pa kusoma tu, bali ni mahali pa kujenga ndoto, kuvumbua vipaji, na kuandaa vijana wenye maadili, weledi, na…
