PRE FORM ONE COURSE 2024
Uongozi wa shule ya sekondari na ufundi Samaritan iliyopo tarime mkabala na kanisa la K.K.K.T unawatangazia nafasi za masomo kwa pre form one kuanzia tarehe 16/09/2024
Wanafunzi watakaokaa bweni watapewa GODORO na MADAFTARI shuleni bure
wanafunzia watakaofanya vizuri katika masomo kwa muda wote wa mafunzo wanaweza kupata ufadhili wa masomo wa hadi 100%

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2024
Shule ina mazingira mazuri ya kufundishia na kujifunzia kwa wanafunzi wote, pia shule ina walimu wa kutosha waliobobea katika fani mbalimbali ikiwemo COMPUTER NA UFUNDI
TUPIGIE
0692306829 au 0764732622
DOWNLOAD PRE FORM ONE JOINING INSTRUCTIONS

Asanteni Kwa taarifa viongozu