PRE FORM ONE COURSE 2024

Uongozi wa shule ya sekondari na ufundi Samaritan iliyopo tarime mkabala na kanisa la K.K.K.T unawatangazia nafasi za masomo kwa pre form one kuanzia tarehe 16/09/2024

wanafunzia watakaofanya vizuri katika masomo kwa muda wote wa mafunzo wanaweza kupata ufadhili wa masomo wa hadi 100%

TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO 2024

Shule ina mazingira mazuri ya kufundishia na kujifunzia kwa wanafunzi wote, pia shule ina walimu wa kutosha waliobobea katika fani mbalimbali ikiwemo COMPUTER NA UFUNDI

DOWNLOAD PRE FORM ONE JOINING INSTRUCTIONS

Similar Posts

One Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *