Education for All and All for God:

  • Samaritan technical secondary school, we strive to provide quality education theoretically and practically with well formed infrastructure for knowledge and good learning environment

Events and News

     Ofisi ya raisi tamisemi(OR-TAMISEMI) imetangaza selections za kujiunga na kidato cha 5 na vyuo kwa mwaka May 30, 2024 Read more

MABDILIKO YA MTAALA( MTALA ULIOBORESHWA)

MUUNDO WA ELIMU-SEKONDARI YA CHINI Readmore…

  • Matokea ya kidato cha pili na kidato cha nne 2024 yametangazwa:- Div. I Readmore

Uongozi wa shule unawatangazia wanafunzi wote waliomaliza kidato cha nne mwaka 2024 kuwa matokeo ya uchaguzi wa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati kwa mwaka wa masomo 2025 yamekwishatoka.

Wanafunzi wote wanahimizwa kufanya yafuatayo:

  1. Kwa wale waliopangiwa shule za sekondari (Kidato cha Tano), wasome kwa makini maelekezo ya kuripoti, tarehe ya kuanza shule, na mahitaji ya mwanafunzi.
  2. Kwa waliopangiwa vyuo vya kati, fuatilia taarifa kutoka chuo husika kuhusu muda wa kuripoti na mahitaji ya kujiunga.
  3.  Kutembelea tovuti ya (https://selform.tamisemi.go.tz/content/selection-and-allocation/2025/first-selection/mara/tarime%20tc/S3906/index.html) ili kujua shule au chuo walichopangiwa

Tunawapongeza wote waliochaguliwa na tunawatakia maandalizi mema katika hatua mpya ya safari yao ya elimu.                               ‘’ELIMU KWA WOTE NA WOTE KWA MUNGU’’

Imetolewa na……Readmore

VARIOUS INFORMATION ABOUT OUR SCHOOL

SHULE YA SEKONDARI YA UFUNDI SAMARITAN

Napenda kuushukuru uongozi wa Dayosisi mkoani Mara pale ulipokubali kujengwa kwa shule ya sekondari na ufundi Samaritan-Tarime, katika kikao cha mkutano mkuu (sinody) kilichokaa Mugumu May 2001 kupitia kamati ya mipango na maendeleo ya dayosisi-ilipopitishwa kujengwa shule hiyo. Shukrani za pekee pia ni kwa Baba Askofu Dr.Samson B.Mshemba -mkuu mstaafu wa K.K.K.T kwa kuweka wakfu eneo la ujenzi wa shule.

PXL_20231027_122221750

A year is divided into two terms (semesters) each having 4 monthly tests per subject and each topic exercise is recorded to assess each student as average to be added to terminal and annual score mark per cent. At the end of the course of 4 years there is a final National Examination that is instituted by the National Examination Council of Tanzania (NECTA) to establish the final assessment of each student.