HEADMSTER OFFICE

g4
Student in Library

Welcome message

Samaritan technical secondary school, we strive to provide quality education theoretically and practically with well-formed infrastructure for knowledge and good learning environment

SCHOOL VISION: “kutoa elimu bora yenye lengo la kupata nguvu kazi yenye mafunzo na ujuzi wa kutosha kwa maendeleo ya nchi yetu”

SCHOOL MISSION: “kutoa/kuzalisha wahitimu wenye nidhamu kupitia malezi ya kiroho ambayo watafanya kazi kwa maslahi ya taifa ili kupata maendeleo endelevu”.

g6

MASOMO YA KAWAIDA

  1. CIVICS
  2. KISWAHILI
  3. HISTORY
  4. ENGLISH LANGUAGE
  5. GEOGRAPHY
  6. BIBLE KNOWLEDGE
  7. BASIC MATHEMATICS
  8. CHEMISTRY
  9. BIOLOGY
  10. PHYSICS

MASOMO YA UFUNDI

  1. TECHNICAL DRAWING(I $ II)
  2. CIVIL ENGINEERING
  3. MECHANICAL ENGINEERING
  4. ELECTRICAL ENGINEERING
  5. ENGINEERING SCIENCE

Masomo Yafundishwayo na Shule

Shule inafundisha jumla ya masomo 15 yakiwemo masomo matano (5) ya ufundi kama inavyoonekana kwenye kielelezo hapo juu. Ifahamike kwamba masomo ya ufundi yemegawanyika katika makundi makuu matatu (03) ambayo ni:

  1. Civil Engineering,
  2. Electrical Engineering na
  3. Mechanical Engineering